Shule zilizofunguliwa bado hazijui ni vitabu vipi vitatumika

Hatma ya Kutekelezwa kwa mtaala mpya wa elimu itabainika hapo kesho katika mkutano wa kamati andalizi ya mtaala huo pamoja na kamati za kiufundi ambazo zimekuwa zikifuatilia mchakato huo. Baadhi ya shule ambazo zilikuwa zinafanyia majaribio mtaala wa 2-6-6-3 zimelalamikia kutokuwepo kwa vitabu na mafunzo ya kutosha kwa walimu huku mwongozo wa kisheria ukiwa ungali kuandaliwa.

Tags:

Fred Matiang'i KNUT KUPPET Wilson Sossion Ministry of Education new school curriculum 2-6-6-3

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories