Siasa za NASA

Muungano mkuu wa upinzani National Super Alliance ,NASA, huenda ukabuniwa rasmi na vyama vya upinzani vikiwemo muungano wa CORD, Amani national congress ANC pamoja na KANU. Hayo yamedokezwa leo katika mikutano ya viongozi wakuu ya vyama vya WIPER na KANU iliyofanyika katika maeneo mawili tofauti hapa jijini Nairobi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories