Siasa za Unga

Ifikapo mwezi Septemba mwaka huu magunia milioni sita ya mahindi yatakuwa yameagizwa humu nchini kutoka mataifa ya kigeni. Shehena hii inatarajiwa kupunguza bei ya unga na gharama ya maisha kwa jumla. Na huku wakenya wakisubiri bei hii kushuka suala zima la gharama ya juu ya maisha limegeuka jukwa la kuchapa siasa huku serikali na viongozi wa upinzani wakinyosheana vidole. Patrick Igunza ana undani wa taarifa hii.

Tags:

UNGA Ugali mahindi mfumko bei

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories