Siha na Maumbile | Familia inayohangaishwa na maradhi tata Butere

Kenya inapojiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya walemavu ulimwenguni familia moja katika kijiji cha Inaya eneo bunge la Butere kaunti ya Kakamega inahangaishwa na maradhi yasiyotambulika na ambayo wengi wameyanasibisha na masuala ya ushirikina. Lakini nini sababu za kiafya za maradhi hayo?
Mwanahabari wetu Violet Auma ameitembelea familia hiyo na kutuandalia makala yetu ya kila jumapili ya siha na maumbile.

Tags:

Siha Na Maumbile maradhi tata

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories