SIHA NA MAUMBILE | Joseph Njuguna augua ugonjwa wa kupooza

Ni Matuamaini ya kila mmoja kumaliza masomo na hata kupata ajira lakini kwa kijana Joseph Njuguna aliyehitimu kwa shahada ya udaktari, matuamaini hayo yalikatizwa ghafla bin vu na jinamizi la ugonjwa wa kupooza unaoitwa kwa kiingereza relapsing polychondritis. Maradhi ambayo huathiri gegedu au cartilage kwa kiingereza. Kadzo Gunga alipata fursa ya kukutana na familia yake na kutuandalia makala maalum katika siha na maumbile.

Tags:

Siha Na Maumbile relapsing polychondritis

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories