Siha na Maumbile: Namna lishe inavyochangia saratani

Chakula na lishe kwa jumla imeonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa mengi, saratahi ikiwa mojawapo. Mfumo duni wa lishe ukitajwa kama mojawapo ya mambo yanayoweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata saratani. Katika siha na maumbile hii leo tunakujuza ni vyakula gani haswa ni hatari na kukuchambulia aina ya vyakula viliorodhodheshwa kuwa nguzo muhimu katika kupunguza uwezekano wa kupata saratani.

Tags:

Siha Na Maumbile saratani Vyakula

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories