Siha na Maumbile: Njia ya kutuliza mwili baada ya kazi

Kuumika ni tiba ambayo imekuwa ikitumika toka jadi na sasa inaonekana kupata umaarufu kutokana na faida zake mwilini. Ni  Tiba inayosifika kwa maumivu mbalimbali ya mwili mbali na kuimarisha afya ya mtu kwa jumla. Katika siha na maumbile hii tunaangazia tiba hiyo ambayo ni salama isiyo na gharama kubwa na pia kama kinga ya maradhi mengi.

Tags:

Siha Na Maumbile Kuumika Njia ya kutuliza mwili baada ya kazi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories