Siha na maumbile: Saratani ya matiti kwa wajawazito

Je, mara ya mwisho umefanya uchunguzi wa saratani ya matiti ni lini? Nauliza hilo kwa sababu Mojawapo ya saratani zinazosababisha vifo vingi kwa wanawake ulimwenguni ni saratani ya matiti huku asiliamia ,je umewahi kujiuliza inakuwaje kwa mama mjamzito anayepatiakana  na saratani hiyo ikizingatiwa inaathiri kiungo nyeti kinachopitia mabadiliko mengi wakati wa ujazito. Flora wachira ni muuguzi wa wagonjwa wa saratani na pia aliwahi kuathirika na  saratani wakati wa ujazito wake wa kwanza. Leo basi katika makala ya hisa na maumbile,  Anatusimulia  aliyopitia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories