Siha Na Maumbile: Suruali za kubana kwa wanaume ni hatari

Siha Na Maumbile: Suruali za kubana kwa wanaume ni hatari

Mitindo mbalimbali ya mavazi haswa ya ughaibuni inaonekana kuigwa sana na vijana. Hata hivyo wasilojua wengi wao ni kwamba kila kinachoingia mjini si cha kuigwa, moja wapo ya mitindi hiyo ikiwa ni suari za kubana ambazo zimeoneka kuwa madhara mengi ya kiafya haswa kwa wanaoishi katika maeneo yenye joto. Katika siha maumbile hii leo tunamulika jiji la daresalam ambapo mwanahanari wetu Samuel Mwalongo anatupasha athari za mawavazi hayo ikingatiwa kwamba jiji hilo lina vyawango vya juu vya joto.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories