Siha na Maumbile: Tunaangazia homa ya kidingapopo{Dengue}

Je unaijua ama umewahi kuiskia homa ya dengi? Ni homa ambayo pindi inapozuka huzua taharuki miongoni mwa madaktari na wauguzi kutokana na hatari inayoambatana nayo. Kutaka kujua mengi kuhuasiana na homa hii nilizungumza na daktari mmoja mjini Mombasa ambako ugonjwa huu huripotiwa wakati mwingi, na kukuandalia mawili matatu kuhusiana na namna unavyoweza kuitambua homa hiyo ya dengi, na vipi unaweza kujikinga usipate maambukizi yake.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories