Siha na Maumbile: Ugonjwa wa Lipoma usipotibiwa ni hatari

Swala la magonjwa kimya humu nchini si jambo geni kwani wengi wa wakenya huathirika lakini wanapuuza na hatimaye kupoteza maisha. Mojawapo wa ugonjwa kimya humu nchini ni ugonjwa wa lipoma ambao husababisha uvimbe usiokuwa na maumivu kwenye sehemu mbali mbali za mwili. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge anaangazia ugonjwa huu ambao ukikosa kutibiwa kwa haraka husababisha saratani katika makala ya siha na maumbile

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories