

Wanasena kuzaa si kazi kazi ni kulea, kumlea mtoto tangu anapozaliwa hadi anapopevuka. Malezi bora kwa watoto wachanga yakiwa mkusanyiko wa mambo mengi kuanzia lishe bora, malazi , kinga na tiba ya magonjwa, Bila kusahau kumkanda mtoto ambako kumeoneka kuwa na manufaa mengi sio tu kwa mtoto bali pia kwa mama. Katika ziara yangu mjini malindi nilipata fursa ya kuzungumza na mhudumu wa afya, ambaye alinionesha taratibu za kukanda, shughuli ambayo imeoneka kusaidia sana katika kumtuliza na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga. Mengi ni katika siha na maumbile inayofuata sasa.
Video Of The Day: Crowning of Senator Gideon Moi as Kalenjin elder rekindles battle with Ruto