Siku 100 za uongozi wa Sonko Nairobi

Zimetimia siku mia moja hii leo tangu kuapishwa kwa gavana wa pili wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko. Katika manifesto yake alikuwa ameahidi kutekeleza majukumu manane muhimu ikiwemo, kuhakikisha kwamba jiji hili ni safi, kupunguza misongamano ya magari na watu kufuatia wachuuzi wa bidhaa rejareja, kuimarisha hali ya afya, kutoa nafasi za ajira, kuimarisha sekta ya makaazi ya kisasa na bei nafuu na hata kupiga jeki sekta ya elimu.

Tags:

Mike Sonko Nairobi Polycarp Igathe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories