Siku ya kwanza ya ziada ya usajili wa wapigakura yakamilika

Makarani wa tume ya iebc leo walijipata bila kazi ya kufanya baada ya Wakenya kususia shughuli hiyo hata baada ya mahakama kuongeza muda wa usajili kwa siku mbili. Hata hivyo idadi ya wapiga kura wapya imeonekana kupanda kwa muda wa siku tisa zilizopita huku  baadhi ya kaunti zikifikisha zaidi ya asilimia sabini ya lengo la iebc.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories