Silas Jakakimba Apata Hifadhi UDM

Baadhi ya wawaniaji wa kiti cha Useneta ,Kaunti ya Homabay waliodai kuchezewa shere katika uteuzi wa chama cha ODM wamepata hifadhi katika vyama tofauti vya kisiasa, ili wajitose ulingoni katika kinyang’anyiro cha tarehe 12 mwezi februari. Silas Jakakimba leo ameidhinishwa kupeperusha bendera ya chama cha United Democratic Movement(UDM), baada ya kukihama chama cha ODM, kufuatia uamuzi wa baraza la uchaguzi la chama hicho kumteua Moses Kajwang moja kwa moja, na kumkabidhi cheti.Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories