Simba anayewaua watu na mifugo anaswa Kilifi

Huenda taharuki sambamba na mizozo baina ya KWS na wakaazi wa Ramada na Magarini kwa jumla kwenye kaunti ya Kilifi ikapungua pakubwa sasa baada ya Simba aliyekuwa akivamia makaazi na kuwauwa mifugo na wananchi kunaswa kupitia mtego wa KWS.

Tags:

kws Simba Kilifi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories