Soko la Kenyatta sasa lapata hadhi mpya baada ya Rais kulizuru

baada ya Rais Uhuru Kenyatta na baadhi ya wanasiasa wa hapa Nairobi kufanya ziara ya ghafla  katika soko mashuhuri la Kenyatta hapo jana, mengi yamefichuka kuhusiana na ugeni wa rais mbali na kitoweo cha nyama alichochamgamkia  katika eneo hilo. Salim Swaleh alitembelea soko hilo na kutuandalia taarifa inayofuata.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories