Soko La Mnada Wa Kuku, Baringo

Tumezoea masoko ya minada ya ngombe, mbuzi na ngamia lakini je, unajua kuwa unaweza kujinunulia kuku pia katika mnada? Soko la kiling’ot kaunti ya Baringo limejizolea umaarufu Kwa kuwa soko la pekee eneo hilo ambapo mamia ya wafugaji wa kuku humiminika mara moja kwa mwezi kuwauza kuku wao katika mnada. Wenyeji wanasema tangu kuanzishwa mnada huo miaka kadhaa iliyopita, soko hilo limewasaidia kuwauza kuku wao kwa bei ya juu na ya faida kinyume na ilivyokuwa awali wafanyibiashara walaghai walipokuwa wakiwanyanyasa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories