Suluhu ya mgomo ipo?

 

Muungano wa madaktari (kmpdu) baraza la magavana na wizara ya afya kwa sasa zipo katika mjadala wa kutafuta mwafaka wa kumaliza mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya pili hii leo.

 

Muungano wa wauguzi nchini kwa upande wake umepuuzilia mbali wito wa kukutana na maafisa wa wizara wakidai kuwa wataketi tu pale ambapo mkutano huo utaongozwa na wizara ya leba.

 

Haya yanajiri huku shughuli za kawaida zikiendelea katika hospitali za umma katika kaunti ya Bomet.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories