Taarifa za mseto

Katika taarifa zetu za mseto wa kaunti ni kuwa wenyeji wa eneo la ndia katika kaunti ya Kirinyaga wanaishi kwa hofu baada ya walinzi wanne wa usiku katika kiwanda kimoja cha kahawa kuvamiwa na kulawitiwa na majambazi waliokuwa na silaha na wakazi wa kaunti ya Murang’a waandamana dhidi ya gavana wa kaunti hiyo Mwangi Wa Iria wakimtaja kama kiongozi mfisadi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories