Taasisi ya utafiti wa misitu yavumbua tanuri Turkana

Mti aina ya Mathenge unaopatikana kwa wingi katika kaunti za Turkana na Baringo una madhara mengi. Mmea huo una miba yenye sumu na  mbuzi wakila huathirika meno hata yakang’oka yote. Hata hivyo, Taasisi ya utafiti wa misitu nchini KEFRI, imevumbua mbinu mpya ya kuchoma makaa ya mti huo na kuwapunguzia wakazi madhila. Mwanahabari  wetu Emmanuel Cheboit ana maelezo zaidi kutoka Turkana.

Tags:

turkana KEFRI Mathenge misitu uchomaji makaa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories