Taharuki Kawangware

Hali ya taharuki ingali imetanda mtaani Kawangware kufuatia mapingano ya hapo jana baina ya wafuasi wa Jubilee na wale wa mrengo wa NASA. Makabiliano hayo yaliyoanza jana jioni yamesababisha uharibifu na wizi wa mali sawa na majeraha kwa baadhi ya wenyeji. Familia kadhaa zimebaki bila makao baada ya nyumba zao kuteketezwa. Polisi wanazidi kupiga doria kuzuia uharibifu zaidi.

Tags:

Kawangware

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories