Taharuki yatanda Endebes kufuatia mzozo wa lishe ya mifugo

Hali ya taharuki imetanda katika eneo bunge la Endebes baada ya mzozo wa lishe ya mifugo kusababisha mauaji ya mtoto wa miaka tisa na nyumba zaidi ya 6 kuteketezwa. Habari hizi na nynginezo kwenye mseto wa kaunti naye Laura Otieno

Tags:

Endebes Robert pukose

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories