Takriban milioni 35 zinakisiwa kutumika katika mazishi ya Ntimama

Hatimaye mazishi ya mwenda zake William Ole Ntimama yamekamilika nyumbani kwake katika kaunti ya Narok. Katika mazishi hiyo viongozi wa upinzani walikutana ana kwa ana na viongozi wa Jubilee wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta huku pande zote mbili zikidai wafuasi wa Ntimama wavuke upande wao.

Tags:

narok william ole ntimama

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories