Tangazo la kusitishwa huduma za afya kote nchini latisha

Taifa lilikuwa liameanza kuzama kwenye giza la ukosefu wa huduma za matibabu baada ya madaktari katika hospitali na kliniki za kibinafsi kuungana na wenzao kwenye mgomo na kuzidisha masaibu ya wagonjwa. Lakini sasa washikadau wako tayari kuzungumza kwa nia ya kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari baada ya viongozi wao kuachiliwa huru. simon kigamba amekuwa akifuatilia namna hali ilivyo na kutuandalia taarifa inayofuata sasa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories