TANZIA TANZANIA: Watoto zaidi ya 25 na walimu kadhaa wafariki

Zaidi ya watu 31 miongoni mwao wanafunzi 27 na walimu wamefariki nchini Tanzania kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha basi la shule karibu na mto wa mlera wilaya ya Meatu huko Arusha.

Tags:

Tanzania Arusha ajali ya barabarani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories