Trachoma Yasumbua wakaazi wa Turkana

Katika kaunti ya Turkana ambapo wengi wa wakaazi ni wafugaji wakuhamahama,idadi kubwa ya wafugaji hao wanakosa fursa ya kuona hadiuzee wao,hii ni kwa sababu wanakumbwa na uhaba mkubwa wa maji nawanapohama kutafuta maji ya kunywa wanaathirika na ugonjwa wa macho uitwao Trachoma,ugonjwa unaletwa na samadi ya mifugo nakusambazwa na nzi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories