Tume ya IEBC yapanga kikao cha faragha Naivasha


Makamishna wa tume ya IEBC hapo kesho wanatarajiwa kuanza kikao cha faragha huko Naivasha kujadiliana jinsi ya kutatua tofauti ambazo wamekumbana nazo mapema wiki hii pamoja na mikakati ya kuandaa uchaguzi wa urasi.

Kamati iliyoteuliwa na mwenyekiti Wafula Chebukati imeanza kazi yake na kujukumiwa kurekebisha makosa yaliyoshuhudiwa katika uchaguzi wa Agosti 8.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author