Tume ya IEBC yapanga mikakati ya uchaguzi wa urais


Tume ya IEBC imeanza mikakati ya kuandaa uchaguzi mwingine wa Urais kufuatia maamuzi ya mahakama ya juu hapo jana. Hata hivyo ingali kubainika ni wagombea wangapi watashiriki uchaguzi huo huku uamuzi wa mahakama ya juu mwaka ya 2013 ukiashiria huenda Rais Uhuru Kenyatta akamenyana na Raila Odinga pekee. Wengine wakisema lazima wagombea wote wanane wa hapo awali washiriki.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author