Tume ya SRC yakata mishahara ,wengi wataathirika ikiwemo Rais

Rais  

Mshahara wa sasa – 1,650,000

Mshahara mpya – 1,443,750

 

Naibu Rais          

Mshahara wa sasa – 1,402,500

Mshahara mpya – 1,227,188

 

Mawaziri, Mkuu wa Jeshi na Mwanasheria Mkuu

Mshahara wa sasa – 1,056,000

Mshahara mpya – 924,000

 

Spika wa Bunge na Seneti

Mshahara wa sasa – 1,320,000

Mshahara mpya – 1,155,000

 

Naibu Spika wa Bunge na Seneti

Mshahara wa sasa – 1,056,000

Mshahara mpya – 924,000

 

Kiongozi wa Wengi na Wachache Bungeni

Mshahara wa sasa – 1,020,670

Mshahara mpya – 765,188

 

Wabunge na Maseneta

Mshahara wa sasa – 710,000

Mshahara mpya – 621,250

 

Gavana

Mshahara wa sasa – 1,056,000

Mshahara mpya – 924,000

 

Wajumbe

Mshahara wa sasa – 165,000

Mshahara mpya – 144,375

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories