Uasin Gishu yashuhudia ongezeko kubwa ya watu


Idadi ya watu inaongezeka kwa kasi mno katika kauntio ya Uasin Gishu. Je, ni sababu zipi zinazochangia hali hiyo? John Wanyama aliwahoji wataalamu wa matibabu pamoja na afisa wa idara ya kuhifadhi takwimu za idadi ya watu na kuandaa makala ifuatayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By John Wanyama
More by this author