Ubadhirifu kwenye kaunti

Mkaguzi mkuu wa mahesabu Edward Ouko ametoa ripoti inayoonyesha jinsi mamilioni ya pesa yalivyopotezwa katika kaunti mbalimbali humu nchini, ripoti ambayo haikupokelewa vyema na baraza la magavana humu nchini walipozitetea kaunti zao dhidi ya kupotezwa kwa mamilioni ya pesa kupitia  mfumo wa fedha wa ifmis wakisema kuwa mfumo huo ulikua umelazimishwa kutumika katika kaunti  hizo na wala hawakua wamekubaliana nazo kamwe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories