Uchaguzi wa kuigiza wafanyika Kogelo

Huku raia wa Marekani wakiendelea kupiga kura kumchagua rais, wakazi wa kijiji cha Kogelo katika kaunti ya Siaya, walifanya uchaguzi wa mwigo kama unaofanyika Marekani na kumtangaza Mgombea wa chama cha Democrat Hillary Clinton kuwa mshindi.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories