Uchochole wawazonga wakazi wa Watamu

Ripoti ya hivi majuzi ya kimataifa ya FP 2020 inaonyeshakuwa Kenya imejitahidi kuhimiza upangaji uzazi huku juhudi za wanaume zikionekana pakubwa. Lakini kama anavyotuarifu mwanahabari Saida Swaleh aliyezuru kaunti ya Kilifi eneo la Wartime, itailazimu kaunti hiyo kujikaza kibobwe kwani inazongwa na visa vya ukosefu wa ajira pamoja na hali duni ya maisha inayosababisha wasichana wadogo kupata mimba za mapema na kupuuza masomo na hata njia za kupanga uzazi.

Tags:

Kilifi watamu upangaji uzazi Umaskini

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories