Uchungu wa mwana, Mwanaye alipotea kisha maiti yake ikapatikana, Matuu

Familia moja katika eneo la ngara hapa nairobi imejawa na majonzi baada ya maiti ya mwanao mwenye umri wa miaka 20 kupatikana katika shimo la choo katika shule ya upili ya kakuku iliyoko eneo la matuu kaunti ya Machakos. Mwili wa William Mbaluka kioko ambaye alipotea tarehe 31 julai, dakika chache kabla ya bweni lao kuteketezea ulipatikana jumatatu tarehe 15. Mwanahabari wetu asasha elizabeth amezama na kuibuka na taarifa hii maalumu kuhusu kadhia  ya mwanafunzi William Kioko.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories