Uchunguzi wabaini vijana wanaoishi na HIV wanaacha dawa

Vita dhidi ya maradhi ya ukimwi nchini vinaendelea kupata changamoto hasa kwa kuwa vijana wanaoishi na virusi wakati mwingine hawanywi dawa zao kama inavyopaswa.

Anne mawathe anakuarifu kuhusu changamoto zao na sababu zinazowafanya wasitumie dawa zao ilhali ndio wanaoambukizwa zaidi.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories