Ugali kwa mpigo

Serikali itatoa gunia milioni moja ya mahindi ifikapo wiki ijayo katika juhudi za kukabiliana na bei za juu za unga wa mahindi humu nchini. Aidha seriklai inatarajia bei ya pakiti ya kilo mbili ya unga kupungua hadi shilingi mia moja na kumi na tano. Denis Otieno ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories