Ugonjwa huu unawapata wanaume pia

Mwanaume akiumwa anaambiwa usilie wewe ni mwanaume…na ndivyo maswala mengi yanayowakabiliwa naume huwa yanashughulikiwa…kimya kimya…ila tu kuna mengine ambayo huwa yanamkandamiza  mwanaume kiasi kwamba hasipozungumza, huenda yakazorotesha mustakabali wake. Leo hii tunaangazia maradhi ya nasuri au fistula kwa wanaume…Anne Mawathe anatupasha.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories