Ugonjwa wa Kimeta

Watu saba wamelazwa katika hospitali ya thika level 5 kwa kile kinachodaiwa kuwa kimeta. Saba hao wakiwa ni wafnyikazi katika kichinjio cha kaunti ya kiambu wanasemekana kuathirika na nyama mbaya. Saida swaleh na maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories