Uhaba wa unga bado upo

Zaidi ya viwanda Vinane vya kusaga unga katika kaunti ya Uasin Gishu vimefunga kwa ukosefu wa Mahindi. Wenye viwanda hivyo wamesema kuwa kwa muda wa siku tatu sasa  hawajaweza kusaga unga hali ambayo wanasema wamepoteza wateja.

Tags:

UNGA Ugali mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories