Uhalali wa kuapisha Odinga

Tangazo la kinara wa NASA Raila Odinga kwamba ataapishwa tarehe kumi na mbili mwezi ujao huenda likazua mtafaruku wa kisheria na hata kisiasa, huku katiba ikiharamisha hatua kama hiyo wakati Rais Uhuru Kenyatta tayari ameapishwa kwa muhula wa pili. Ikiwa Odinga atatekeleza azma yake huenda akafanya kosa la uhaini, huku wadadisi wakimwona kama anayeibua gharama yake ya kisiasa.

Tags:

raila odinga Jamhuri Day

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories