Uhifadhi Misitu

Kuna hatari ya baadhi ya Wanyama Wa Porini kwenye Msitu wa Kakamega kutoweka iwapo mimea fulani inayotegemewa na Wanyama hao kwa chakula itaendelea kunyongwa na mimea mingine ya vinyemelea. Maafisa wa Misitu kutoka Msitu huo wamechunguza kuwa mwenendo huu wa baadhi ya miti kuzongwa na hata kunyongwa na mimea mingine imezidi na huenda miti hiyo  ikatoweka kabisa huku matokeo yake yakiwa ni kuhama kwa Wanyama wanaotegemea miti ya aina hiyo kwa chakula, jambo litakalokuwa pigo kubwa kwa Sekta Ya Utalii eneo hili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories