Uhuru aapa kuifanyia idara ya mahakama mabadiliko


Viongozi wa chama cha Jubilee wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta wameendelea kukashifu uamuzi wa mahakama ya juu iliyobatilisha uchaguzi wa urais. Na kama anavyoripoti Hassan Farah viongozi hao wameifokea idara ya mahakama na kusema kuwa watafanya mabadiliko makuu wakichaguliwa tena.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author