Uhuru adai Odinga anaogopa debe


Rais Uhuru Kenyatta amemtaka mgombea urais wa muungano wa NASA Raila Odinga kuacha kuiweka nchi katika hali ya wasiwasi kwa kutoa vitisho vya kila mara kwa tume ya uchaguzi. Kulingana na Uhuru, Raila anaogopa kurudi kwenye debe kwa sababu anajua kuwa atabwagwa na ndio sababu anapinga kila kinachopangwa na IEBC.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Faiza Wanjiru
More by this author