Uhuru ahakikisha mabalozi kuwa uchaguzi utafanyika vyema


Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia mabalozi kuwa maandalizi ya uchaguzi wa tarehe 17 Agosti yanaendelea vyema na kuwa yuko tayari kurudi kwenye debe na kumenyana na mpinzani wake Raila Odinga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NASA senators meet to elect new minority leader

Story By Citizen Team
More by this author