Uhuru angali anaongoza katika kinyanganyiro cha urais
Published on: June 30, 2017 08:27 (EAT)
Ikiwa uchaguzi mkuu ungefanyika hii leo Uhuru Kenyatta angemshinda mpizani wake wa muungano wa NASA Raila Odinga. Hii ni kulingana na Utafiti wa hivi punde uliofanywa na shirika la Infotrak.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment