Uhuru aongoza kampeni za Jubilee kaunti ya Nakuru

Rais Uhuru Kenyatta amekita kambi katika kaunti ya Nakuru kupigia debe chama cha Jubilee ambapo amesisitiza umoja wa wote wanaomuunga mkono ili kuweza kuzoa kura nyingi. Ziara yake imemsababisha gavana Kinuthia Mbugua kuvua kofia na kumuunga mkono Lee Kinyanjui katika kinyang’anyiro cha ugavana.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Nakuru. kinuthia mbugua Lee Kinyanjui

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories