Uhuru azungumza na rais wa China Xi Jinping

Akikaribia kumaliza rasmi ziara ya nchi za nje,Rais Uhuru Kenyatta aliwasili nchini China mapema leo kukutana na Rais Xi Jinping wa nchi hiyo kwa minajili ya kujadili maswala mbalimbali ya kiuchumi yatakayozisaidia nchi zote mbili.
Lengo kuu la kikao hicho likiwa ni kujadili jinsi ya kuziba pengo la kibiashara lililojitokeza baina ya Kenya na China,kuwekeza katika sekta tofauti za kiuchumi ikiwemo ufadhili wa reli ya kisasa, SGR.

Tags:

china Xi Jinping Uhuru Kenya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories