Uhuru: Idadi ya makurutu itaongezwa hadi 30,000

Rais Uhuru Kenyatta ameagiza vikosi vya usalama nchini kuwapa kipaumbele vijana wa huduma kwa taifa nys wakati wa usajili wa makurutu wa kujiunga na vikosi vya usalama.

Rais ameagiza haya katika hafla ya pili ya kufuzu kwa vijana 10,411 wa nys katika chuo cha Gilgil . Fathma Weso anaarifu zaidi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories