Uhuru na Ruto wazuru kaunti ya Kiambu
Published on: March 04, 2017 09:02 (EAT)
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo wamekita kambi katika kaunti ya Kiambu, huku wakipuuzilia mbali madai ya muungano wa upinzani-NASA, kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Kenyatta na Ruto wamedai vinara wa upinzani wanahofia kulambishwa sakafu mwezi Agosti, na kuhiari kuirushia cheche tume ya uchaguzi nchini-IEBC kama vijisababu. Na kama anavyotuarifu Francis Gachuri, viongozi hawa wa Jubilee wametetea utendakazi wao katika muhula wa kwanza uongozini.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment